Diclofenac Sodium20 tablets
Cipla
Inauzwa naDawaFasta General Pharmacy
Diclofenac Sodium 50mg
20 tablets · Maumivu na Homa · Maumivu ya Viungo
TSh 2,000
✓ Ipo stoo
100% Halisi
Nchi nzima
Ufungaji wa siri
Maelezo
Kwa maumivu ya viungo, mgongo na misuli.
Matumizi
Kidonge 1 mara 2-3 kwa siku baada ya chakula.
Taarifa hii si mbadala wa ushauri wa daktari. Soma maelekezo kwenye kifurushi na wasiliana na mfamasia au daktari kabla ya kutumia dawa.