Madaktari 1 online sasa
Ongea na Daktari
Chagua daktari aliyesajiliwa, lipia ada ya ushauri, kisha chat moja kwa moja au ongea naye kupitia WhatsApp - ukiwa popote Tanzania.
Usiri kamili Madaktari wa MCT Prescription mtandaoni Kuanzia TSh 10,000
AM
Dkt. Amina Mushi
General Practitioner
Miaka 7+ 4.9
● Online sasa
Medical Doctor (MD)
Kiswahili, English
Ada ya ushauri
TSh 10,000
Dharura? Kama una dalili za hatari (kupumua kwa shida, kupoteza fahamu, kutokwa damu nyingi), nenda hospitali iliyo karibu mara moja au piga 114.